Sign up for our newsletter!
Weekly new courses!

HUDUMA YA AFYA KWA WATU WENYE ASILI YA BARA LA AFRIKA

African American Health  Program (AAHP) ni programu inayohusika na utoaji wa huduma za afya kwa jamii ya watu wenye asili ya bara la Afrika waishio kata ya Montgomery jimbo la Maryland. Jamii yenye afya ni mzizi wa taifa imara na lenye kuashiria uwezo mkubwa wa kushamiri katika nyanja mbalimbali. Lengo na dhumuni la programu ya AAHP ni kutoa huduma za afya zenye kukidhi mahitaji tofauti ya jamii husika ikizingatia lugha na tamaduni tofauti za  jamii. Huduma hii isiyo na gharama kwako inalenga vipengele vifuatavyo; Saratani , Afya ya mama mjamzito na mtoto , Afya ya kinywa, Afya ya moyo, Magojwa ya zinaa na maambukizi, Ukimwi au HIV/ Aids na magojwa ya Kisukari,

Usisite kuwasilina nasi kupitia  African American Health Program14015 New Hampshire AvenueSilver Spring, MD 20904p: 240.777.1833f: 301.421.5975 The African American Health Program is funded by the Montgomery County Department of Health and Human Services and administered by McFarland & Associates, Inc.

See original article at Nesiwangu.

←Back to all blog posts